*Mteja kupata kadi ya kutolea fedha papo hapo ndani ya dakika kumi tu
Waziri wa fedha Dk William Mgimwa akichukuliwa alama za
vidole na Ofisa mauzo ya Nje NMB Abdul Kandoro mara baada ya uzinduzi rasmi wa
NMB chap chap akaunti mwishoni mwa wiki mkoani Dodoma.
HABARI KWA UFUPI
Benki ya NMB imeendelea kuwa kinara katika kuboresha na kubuni huduma mbali mbali za kibenki, ili kuwawezesha wateja wake kupata unafuu na urahisi wa upatikanaji wa huduma za kibenki nchini Tanzania.
Katika kulizingatia hilo mwishoni mwa wiki iliyopita, Benki ya NMB ilizindua akaunti ya Chap Chap ambayo kusudi kubwa ni kuwafikia wananchi wote kule waliko na kuwafungulia akaunti zao.
Kikubwa zaidi ni kwamba mteja ataweza kufungua akaunti papo hapo na kupata kadi yake ya kutolea fedha ndani ya dakika kumi·
Mambo muhimu zaidi ambayo mteja wa Chap Chap anaweza kufaidika nayo ni pamoja na:
*Kuona salio la akaunti yako popote ulipo
*Kuweka fedha na kutoa fedha kwa mawakala wa M- pesa
*Kutuma fedha kwa wasio na akaunti mahali popote nchini kwa kutumia huduma ya Pesa Fasta
*Kununua vocha za muda wa maongezi kutoka kwenye mtandao wowote wa simu
*Kuchukua fedha hadi shillingi 1.000,000/= kutoka kwenye ATM
PICHA ZAIDI>>>

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Mark
Wiessing akimshukuru Mh. Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa mara baada ya
kuzindua akaunti ya NMB Chap chap .
Sehemu ya maofisa wa NMB na wageni waalikwa kwenye uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269