Breaking News

Your Ad Spot

Jun 10, 2013

BONDIA WA TANZANIA JAPHETI KASEBA AMTWANGA MMALAWI

KASEBA ALIVYOMSAMBARATISHA SIMWANZA WA MALAWI

Bondia Japhet Kaseba (kushoto) akimtupia sumbwi Bondia wa Malawi Rasco Simwanza, wakati wa mpambano wao wa Ubingwa wa Kimataifa wa PST uliofanyika jana mjini Dar es Salaam, Kaseba alishinda kwa TKO kwenye raundi ya tano. Picha zaidi BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages