NA BELINDA KWEKA-MAELEZO
Wakati Watanzania hususan wapenda kandanda wakiwa bado wanatafakari kwa machungu kipigo cha mabao 4-2, ilichopata Taifa Stars kutoka kwa Ivory Coast, wadau wengine wameibuka na madai kwamba matusi ya nguoni yanayodaiwa kuhanikizwa na mashabiki wakati wa mechi hiyo ndiyo sababu ya kipigo hicho!
Madai hayo yametolewa leo mchana kweupe na Maaskofu na Wachungaji wa Good News For All Ministry wakati wakizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari – MAELEZO jijini Da res Salaam.
Askofu Charles Gadi amesema >>> BOFYA HAPA
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269