Breaking News

Your Ad Spot

Jun 2, 2013

KINANA AWASILI SONGEA ASUBUHI HII, KUHUTUBIA MKUTANO MKUBWA UWANJA WA MAJI MAJI

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Songea Mjini, Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi baada ya kuwasili mjini Songea leo kwa ajili ya ziara ya siku moja. Kinana anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara baadaye leo kwenye Uwanja wa Maji Maji 
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye Ofisi ya CCM ya mkoa wa Ruvuma, wilayani Songea. Nyuma yake ni Katibu wa CCM wa mkoa wa Ruvuma, Verena Shumbusho. Picha zote na BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages