Meya wa mji wa Kampala, nchini Uganda, Erias Lukwago, amelazwa hospitalini nchini humo, baada kutupigwa bomu la machozi akiwa ndani ya gari lake.
Inadaiwa mmoja wa polisi wa kutuliza ghasia (FFU) nchini humo a. k.a ( Kina ras Makunja) ndiye
alitupa katika gari la Mstahiki Meya huyo akiwa katika maandamano mjini Kamapala Picha Kamilkit BOFYA HAPA
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269