Breaking News

Your Ad Spot

Jun 9, 2013

NSSFF ILIYOSHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI YA KUSAIDIA AFYA YA MAMA NA MTOTO

 Naibu Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro
akimkabidhi cheti, Ofisa Utawala Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF), Yussuf Mmanga, kwa kutambua mchango wa Shirika la hilo katika
kufanikisha matembezi ya hisani ya ‘Step Ahead’ kwa ajili ya kusaidia afya ya
mama na mtoto yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa Barclays, Kihara Maina.
 
 Picha ya pamoja.
Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja na cheti cha kutambua mchango wao katika matembezi ya hisani ya kusaidia afya ya mama na mtoto ambapo NSSF walikuwa wadhamini wa matembezi hayo.   
 Wafanyakazi wa NSSF wakiwa na cheti cha kutambua mchango wao katika matembezi ya hisani ya kusaidia afya ya mama na mtoto ambapo NSSF walikuwa wadhamini wa matembezi hayo.  
Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF wakiwa na cheti cha kutambua mchango wao katika matembezi ya hisani ya kusaidia afya ya mama na mtoto ambapo NSSF walikuwa wadhamini wa matembezi hayo. 
 Kuweka mwili fiti.
 Mazoezi.
Baadhi ya  Wafanyakazi wa NSSF wakishiriki mazoezi kabla ya kuanza kwa matembezi ya hisani.

Naibu Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro
(kushoto) akiongoza mazoezi mepesi kabla ya kuanza kwa
  matembezi ya hisani ya ‘Step Ahead’ kwa ajili
ya kusaidia afya ya mama na mtoto yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni
mwa wiki. Matembezi hayo yaliandaliwa na Barclays na kudhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii  (NSSF)
 Baada ya matembezi ni furaha tupu.
 Tunajali afya za akina mama na watoto
Brass Band ya Polisi ikiongoza matembezi ya hisani ya 'Steap Ahead' kwa ajili ya kusaidia afya ya mama na mtoto yaliyofanyika jijini Dar es
Salaam. Matembnezi hayo yaliandaliwa na Barclays na kudhaminiswa na NSSF.
Naibu Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro
(wa pili kushoto) akiongoza matembezi ya hisani ya ‘Step Ahead’ kwa ajili
ya kusaidia afya ya mama na mtoto yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni
mwa wiki. Matembezi hayo yaliandaliwa na Barclays na kudhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF). Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Montage, Teddy Mapunda na Kulia ni 
Mkurugenzi Mkuu wa Barclays, Kihara Maina.


 Kiongozi wa Karude Band, Deo Mwanambilimbi (kushoto)
akiwaongoza wanamuziki wake wakati bendi hiyo ilipotumbuiza kwenye matembezi ya
hisani ya
‘Step Ahead’ kwa ajili ya kusaidia afya ya mama na mtoto yaliyofanyika
jijini Dar es Salaam. Matembezi hayo yaliandaliwa na Barclays na kudhaminiwa na NSSF.


 Baada ya matembezi Karunde Bande ilitoa shoo ya nguvu.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages