Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Donan Mmbando akiponyeza kitufe cha kingora katika moja ya magari ya wagonjwa kama ishara ya kuyapokea magari manne ya wagonjwa kutoka kwa wahisani ambao ni Plan International na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Canada (CIDA) katika halfa iliyofanyika jana. Picha na Lorietha Laurence- Maelezo.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269