Breaking News

Your Ad Spot

Jun 4, 2013

RAIS KIKWETE AWASILI SINGAPORE KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Bw. Laurence Bay, Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore. Kushoto ni Balozi wa Tanzania India na Singapre Injinia John  Kijazi na mbele yao ni Naibu Mkurugenzi wa Itifaki wa Singapore Bi. Christine Tay.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje, Mernard Membe nchini Singapore. Kulia ni Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi,mProf Anna Tibaijuka na Dk. Abdallah Kigoda
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Kasulu mjini Mhe Moses Machali pamoja na wadau wengine wakati akiwasili Singapore
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jijini Singapore leo wakati alipokutana na wafanyabaishara za ujenzi wa nchi hiyo baada ya kutua kutoka Japan alikokuwa kwa ziara nyingine ya kikazi. Katika mkutano huu  Rais Kikwete aliwakaribisha wafanyabishara hao wa Singapore  Tanzania kuwekeza katika sekta ya nyumba wakati wa chakula cha jioni kilichiandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages