Breaking News

Your Ad Spot

Jul 17, 2013

BREKING NEWS, WEMA SEPETU ASHIKILIWA NA POLISI KITUO CHA KAWE

Wema Sepetu
Taarifa ilizopata theNkoromo Blog hivi punde zinasema, Mrembo na Mwigizaji Wema Sepetu amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kumjeruhi mtu katika tukio ambalo hata hivyo mtandao huu haukuweza kulidaka mara moja.

Mtoa taarifa amesema, Wema, anatarajiwa kufikishwa mahakamani asubuhi hii, Katika Mahakama ya Mwanzo ya Kawe kujibu mashitaka. Kwa habari zaidi za kina baadaye

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages