Breaking News

Your Ad Spot

Jul 8, 2013

MKUTANO MKUU WA SIMBA SPORTS CLUB JULAI 20 MWAKA HUU

KLABU ya Simba imepanga kufanya mkutano wake mkuu wa mwaka wa wanachama Julai 20 mwaka huu.

Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba, Joseph Itang'are amesema kuwa, mkutano huo utafanyika kwenye Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam.

Itang'are, maarufu kwa jina la Kinesi alisema, uamuzi wa kuitisha mkutano huo tarehe hiyo, ulifikiwa katika >>Inaendelea BOFYA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages