Breaking News

Your Ad Spot

Jul 28, 2013

MTUHUMIWA WA WIZI APATA KIPIGO CHA MAANA KUTOKA KWA WANANCHI, KAWE

 Kijana mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amenusurika kifo kwa kupigwa kipigo cha maana, na wananchi wenye hasira baada ya kutuhimiwa kuiba kwenye nyumba moja ya mkazi wa eneo la Mbezi Darajani, Kawe, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, leo mchana. Pichani, wananchi wakimsulubu kwa bakora.
 Wakimsulubu kwa bakora
 Mwingine akabuka na tofali na kumwezeka nalo mtuhumiwa huyo kichwani
 Ikawa mshike mshike huku wakimvuta kumpeleka kituo cha polisi
 Huyu naye akaamua kucharaza teke la kimazoezi
 Hawa twende polisi...
Mtuhumiwa huyo akawa taaban na kuanguka, hatua iliyowafanya wananchi kutawanyika wakidhani wamemuua... kube walaa baadaye alinyanyuka taratibu na kuondoka zake. Imeyatarishwa na theNkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages