Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mabalozi wateule watakaoiwakilisha Tanzani akatika mataifa mbalimbali. Kutoka kushoto ni Mbarouk Nasoro Mbarouk (Umoja wa Falme za kiarabu _UAE), Modest Jonathan Maro Umoja wa matifa _Geneva) Wilson Masilingi (Uholanzi), Liberata Mulamula (Marekani), Luteni Jenerali Mstaafu, Abdulrahman Shimbo (China), Chabaka Kilumanga (Comoro), na Anthony Cheche atakayekwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269