Breaking News

Your Ad Spot

Jul 10, 2013

RAIS AFUNGA KONGAMANO LA KUJADILI AMANI YA TAIFA LEO

 Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania Centre for Democracy(TCD) ambaye pia ni kiongozi wa chama cha NCCR Mageuzi Mhe. James Mbatia akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete maazimio ya Kongamano la Kitaifa kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam na kufungwa leo jioni.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya kufunga Kongamano la Kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salam leo jioni.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya kufunga Kongamano la Kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salam leo jioni.
 Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa vyama vya siasa vilivyoshiriki katika Kongamano  la kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.Kushoto ni kiongozi wa Chama cha NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia (MB), Mwenyekiti wa TLP Mhe.Augustine Lyatonga Mrema(watatu kushoto) na kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha UDP Mhe.John Momose Cheyo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(aliyekaa katikati) Akiwa katika picha ya Pamoja na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na washiriki wa Kongamano la Kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages