Breaking News

Your Ad Spot

Jul 25, 2013

TANGAZO LA MSIBA ULIOTOKEA LONDON JANA

Familia ya Mr. A Alfaghee inasikitika kutangaza kifo cha Binti yao mpendwa MAIMUNA FATMA KARUMBA kilichotokea jana London UK.
 Ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki mchango wako wa dhati unahitajika ili kufanikisha maziko ya Binti Yetu Mpendwa, Ambayo Yamepangwa Kufanyika IJUMAA TAREHE 26 July 2013. Gharama za maziko ni £3000 tunaomba chochote ulichonacho ilikufanikisha maziko haya. Michango yote inwekee kwenye account ya  MR A ALFAGHEE Sort 09-01-27
Account Number 11832254 Santander.
Asanteni Kwa Ushirikiano Wenu
R.I.P MAIMUNA FATMA KARUMBA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages