Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislam ya IRAN alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Teheran leo Ogast 03-2013 kwa ajili ya kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mpya wa Nchi hiyo Bw. Hassan Rouhan Al-Quds anaetarajiwa kuapishwa kesho baada ya kushinda kwenye uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislam ya IRAN alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Teheran leo Ogast 03-2013 kwa ajili ya kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mpya wa Nchi hiyo Bw. Hassan Rouhan Al-Quds anaetarajiwa kuapishwa kesho baada ya kushinda kwenye uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mshauri Maalum wa Waziri wa Mambo ya nje wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislam ya IRAN bw. Mohammad Valulleh kwenye chumba maalum cha mapumziko VIP katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Teheran leo Ogast 03-2013 alipowasili Nchini Irani kwa ajili ya kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mpya wa Nchi hiyo Bw. Hassan Rouhani Al-Quds anaetarajiwa kuapishwa kesho baaada ya kushinda kwenye Uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni. (Picha na OMR)
Your Ad Spot
Aug 3, 2013
Home
Unlabelled
DK. BILAL AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS MPYA WA IRAN
DK. BILAL AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS MPYA WA IRAN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269