Kama ulivyo utaratibu aliojiwekea wa kutoa hotuba maalum kwa wananchi, kila mwisho wa mwezi, Rais wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete mwishoni mwa mwezi uliopita, Julai mwaka huu, pia ametoa hutoba yenye ufafanuzi wa mambo mengi muhimu. Kama ungependa kuisoma kwa makini zaidi hotuba hiyo kama tulivyoipata theNkoromo Blog>BOFYA HAPA au tazama video ya hotuba hiyo hapa chini.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269