.

PINDA AKUTANA NA WAHITIMU WA SUA AMBAO SASA WAMEJIAJIRI

Aug 20, 2013

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Mary Nagu (wapili kulia), Naibu Waziri wa Kilimo wa Kilimo , Chakula na Ushirika, Adam Malima na Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka Wanne kulia) wakimsikiliza MagdalenaShirima, mmoja wa wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine aliyejiajiri kwa kusindika vya vya kula la kuuza. Shirima ni mmoja kati ya wahitimu wa Chuo hicho waliojiajiri ambao walikutana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na kuzunguza naye, Ofisini kwake jijini Dar es slaam mwishoni mwa wiki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช