.

RAIS AFUNGUA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA MAHAKIMU NA MAJIJI AFRIKA MASHARIKI

Aug 13, 2013

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria Abubakary Khamis Bakari,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja,kufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,wengine
(katikati) Jaji Mkuu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mohamed Chande Othman,na Jaji Mkuu Zanzibar Omar Othman Makungu,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Jaji Mkuu Kiongozi  Fakih Jandu,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja,kufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,mara alipowasili katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja,kufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
  Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akiufungua Mkutano huo wa siku tanu leo katika Ukumbi wa Hoteliya Zanzibar Beach Resort iliyopo nje ya Mjiwa Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
  Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akiufungua Mkutano huo wa siku tanu
leo katika Ukumbi wa Hoteliya Zanzibar Beach Resort iliyopo nje ya Mji
wa Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) ulioanza leo katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª