.

RAIS KIKWETE KATIKA MAPUMZIKO YA WIKIENDI MSOGA LEO, AMTEMBELEA MZEE KHALFAN TENGENEZA

Aug 11, 2013

Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mzee Khalfan Tengeneza Mchaga katika kijiji cha Msoga,kata ya Chalinze ,wilaya ya Bagamoyo leo wakati Rais lipomtembelea kumjulia hali mzee huyo,  akiwa katika mapumziko ya mwisho wa wiki kijijini Msoga (Picha na Freddy Maro)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª