.

WAJUMBE WA NEC YA CCM WAENDA DODOMA LEO

Aug 23, 2013

 Wajumbe wa NEC ya CCM kutoka Zanzibar na mjini Dar es Salaam, wakiwa tayari kuondoka kwa basi la kukodi kutoka Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya safari ya kwenda mjini Dodoma kushiriki kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kinachoanza kesho .
 Ofisa Utawala wa CCM, Mary Nchimbi, akiwaambia abiria kuwa tayari kwa safari
 Wajumbe wa NEC na baadhi ya maofisa wa Chama wakiwa kwenye gari
Wajumbe wa NEC na baadhi ya maofisa wa Chama wakiwa kwenye gasi leo asubuhi

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª