Baadhi ya mateka wakiokolewa kutoka katika jengo la Westgate.
Jeshi limeweza kudhibiti hali nje na ndani ya jengo hilo,
Mateka waliookolewa.
Magari ya kijeshi yakiwa katika eneo la tukio kukabiliana na wanamgambo wa Al shabaab. (Picha zote kwa msaada wa Mashirika ya Habari)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269