Wakazi wa Tegeta jijini Dar es Salaam, wakipata burudani
huku pia wakipewa elimu ya utumiaji wa vyakula vilivyoongezwa Virutubishi na
vijana wa kiundi la black worious wakati wa walipokuwa wakifanyakapeni ya utumiaji wa vyakula vyenye virutubishi . Kampeni
hiyo inaongozwa na Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Dawa Tanzania.(TFDA) katika Wilaya za Kinondoni ,Ilala na Temeke ambapo
mlaji anatakiwa kuhakikisha ananunua vyakula vilivyowekwa nembo ya Virutubishi.
Vijana wanaohamasishaji wa
utumiaji wa vyakula vilivyoongezwa virutubishi wakito elimu hiyo katika
mitaa ya Tandika Sokoni jijini Dar es
Salaam, Kampeni hiyo ya uhamasishaji juu ya kuongeza virutubishi kwenye
unga wa ngano,unga wa mahindi na mafuta ya kula unazihusisha
Wilaya za Kinondoni ,Ilala na Temeke ambapo mlaji anatakiwa kuhakikisha
ananunua
vyakula vyenye nembo ya Virutubishi. Kampeni
hiyo inaongozwa na Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Dawa Tanzaniaz.(TFDA)

Mhamasishaji akimuelimisha mwendesha bodaboda, Tandika
Wakazi wa Tandika Sokoni jijini Dar es Salaam, wakiwa
wamefurika wakati walipokuwa wakipewa
elimu ya utumiaji wa vyakula vyenye vitutubishi katika Kampeni
inayoendeshwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula
na Dawa Tanzania.(TFDA) katika Wilaya za
Kinondoni ,Temeke na Ilala.Mbiu ya promosheni hiyo ni kuhakikisha wananchi wanatumia
vyakula vywenye nembo ya Virutubishi.
Akina mama wanaojihusisha na upembuaji wa maharage katika
soko la vyakula la Tandika jijini Dar es Salaam,wakimsikiliza kwa makini Adamu
Juma ( kulia) wakati alipokuwa akiwapa
elimu ya utumiaji wa vyakula
vilivyoongezwa Virutubishi .Kampeni
hiyo inaongozwa na Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Dawa Tanzania.(TFDA) katika Wilaya za Kinondoni ,Ilala na Temeke ambapo
mlaji anatakiwa kuhakikisha ananunua vyakula vilivyowekwa nembo ya Virutubishi. PICHA: ALBERT JACKSON
Your Ad Spot
Sep 23, 2013
Home
Unlabelled
BAADA YA MTWARA,LINDI,TANGA NA PWANI SASA KAMPENI YA KUHAMASISHA ULAJI WA VYAKULA VYENYE VIRUTUBISHI WAHAMIA JIJINI DAR ES SALAAM
BAADA YA MTWARA,LINDI,TANGA NA PWANI SASA KAMPENI YA KUHAMASISHA ULAJI WA VYAKULA VYENYE VIRUTUBISHI WAHAMIA JIJINI DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269