Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi wa heshima
watakaoiwakilisha Tanzania katika majimbo mbalimbali nchini Marekani
wakati wa hafla ya kuwapa hati za utambulisho zilizofanyika katika
ubalozi wa Tanzania jijini Washington Marekani leo(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269