Breaking News

Your Ad Spot

Sep 18, 2013

BLOGGERS NA WASIMAMIZI WA MITANDAO MINGINE YA JAMII WAPEWA VYETI NA TCRA BAADA YA KUWAPIGA SEMINA YA SIKU MBILI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma, akifunga semina ya Wamiliki wa Blog na Wasimamizi wa Mitandao ya Jamii, baada ya semina hiyo kumalizika leo, Makao Makuu ya TCRA, Dar es Salaam,  Semina hiyo iliyoandaliwa  na TCRA kuboresha weledi wa Wanahabari hao, ilianza jana, ambapo wataalam mbalimbali wakiwemo kutoka Kampuni ya Google na Baraza la Habari Tanzania (MCT) na Shule ya Uandishi wa habari, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, walitoa mada moto moto ambazo bila shaka zimewaongezea ujuzi wanahabari hao.
 MKurugenzi wa TCRA, Profesa John Nkoma akimkabishi cheti cha kuhitimu semina hiyo, Mmiliki na Mtayarishaji Mkuu wa theNkoromo Blog, Bashir Nkoromo, mwishoni mwa semina leo.
 Cheti chenyewe cha Nkoromo ndicho hiki.
 Mmiliki wa Habari Mseto Blogu, Francis Dande akipokea cheti chake
 Othman Michuzi kutoka Michuzi Media, akipokea cheti cha kushiriki semina hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano TCRA Innocent Mungy.
 Mwanadada Jestina George ambaye pia ni Blogger mahiri akipokea cheti chake
 Sambaya kutoka Tanuru la Fikra akipokea cheti chake
 Blogger Doto Kahidni akipokea cheti chake
 Mwana Mtandao, Magnus Mahenge akipokea cheti chake
 Mroki Mroki wa Father Kidevu Blogu akipokea cheti chake
 Henry Mdimu maarufu kama Nzee la Nyeti, akipokea cheti chake
 John Badi wa Daily Mitikasi Blog akipokea cheti chake
 Yussuf Bad wa Tanzania Life Blog akipokea cheti chake
 Blogger wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurigenzi wa TCRA, Prof, John Nkoma na Mungy
 Mablogger wakiwa katika picha ya pamoja na Prof Nkoma na Mungy mbeye ya jengo la TCRA
Timu ya Mablogger wanawake tu hii hapa
  Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa mtandao wa Bongo Celeblate, Jeff Msangi
 Shamim Mwasha, akipokea cheti.
 Cathbert Kajuna, akipokea cheti...
 Dj Choka, akipokea cheti.
 Maxence Melo, kipokea cheti.
 Sinta, akipokea cheti.
 Mmiliki wa Mtandao wa Mbeya Yetu, Joseph Mwaisango, akichangia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo.
 Jestina George, akichangia mada
 Maxence, akichangia mada.
 Mtoa mada, Liz wachuka, akitoa mada...
 Mafunzo yakiendelea 
 Mike Mushi, wa Jamii Forums, akitoa mada
 Ma-blogger, wakiwa makini kunasa kila kinachozungumzwa.
 Mtoa mada, Dotto Kuhenga, akitoa mada
 Mtoa mada, Pili, akitoa mada

1 comment:

  1. Asante sana kaka picha nzuri sana & it was a pleasure meeting you. Pamoja we can

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages