Breaking News

Your Ad Spot

Oct 4, 2013

CCM: HATUNA KINYONGO NA TUME YA KATIBA MPYA


Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema moja ya misimamo yake kiliyo nayo hadi sasa kuhusu mchakato wa Katiba mpya ni kwamba bado kinaiheshimu na kuwa na imani na Tume ya Katiba mpya na pia kinaahidi kuendelea kutoa uhsirikiano wa mkubwa kama Taasisi kwa tume hiyo. Hayo yamesemwa leo na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (pichani) alipozungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages