.

DC KONISAGA AU 'MTUMISHI WA MUNGU' APONGEZWA KWA KUHITIMU SHAHADA YA PILI CHUO KIKUU HURIA

Oct 28, 2013

 Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Baraka Konisaga akiingia na mkewe ukumbi kwenye hafla ya kumpongeza kwa kuhitimu Shahada ya Uzamili ya Uchumi na Maendeleo ya Jamii,ya Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania (OUT) juzi. Sherehe hiyo ililifanyika jana katika ukumbi wa Clasic Motel, Kurasini
 Konisaga na mkewe wakiwa wa 'Wazee wao' baada ya kuwasili ukumbini>Picha nyingi kabisa BOFYA HAPA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª