Breaking News

Your Ad Spot

Oct 22, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA RAIS WA BUNGE LA SWITZERLAND, IKULU

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Rais wa Bunge la Switzerland, Maya Graf, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya mazungumzo. Kushoto ni Balozi wa Switzerland nchini, Olivier Chave.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Rais wa Bunge la Switzerland, Maya Graf, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya mazungumzo. 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages