Breaking News

Your Ad Spot

Oct 6, 2013

MJUMBE WA NEC, ASHA ABDALAAH JUMA KATIKA ZIARA YA NAMTUMBO

 Wanachama wa CCM na wananchi kwa jumla wakiwa katika mapokezi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Asha Abdalaah Juma alipowasili katika Kata ya Lutora wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma
 Mjumbe wa NEC, Asha Abdalaa Juma akiwa na Mbunge wa Namtumbo,  Vita Kawawa kwenye mkutano wa hadhara  uliofanbyika kata ya Lutora wilaya ya Namtumbo.
 Mjumbe wa NEC, Asha Abdallah Juma (kushoto) akikagua hospitali mpya ya Wilaya ya Namtumbo ambayo imejengwa ikiwa ni miongoni mwa utekelezaji wa Ilani ya CCM wilayani humo
 Mjumbe wa NEC, Asha bdalaah Juma akiwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Lutora wilayani Namtumbo. Pamoja naye ni Mjumbe wa NEC wa willaya hiyo Ndugu Zuber
 Mjumbe wa NEC, Asha Abdalaah Juma akicheza na wananchi wa Kata ya Misufini, Namtumbo
Asha Abdallah Juma na Victor Kawawa

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages