Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo akichuana na beki wa Ruvu shooting, stephano Mwasyika. (Picha na Habari Mseto Blog)
Amri Kiemba akichuana beki wa Ruvu Shooting, Abuu Hashim.
Hekaheka katika lango la Ruvu Shooting.
Mshambuliaji wa Simba, Betram Mombeki akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Golikipa wa Ruvu Shooting, Abdul Seif akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Berntram Mombeki akiruka daruga la beki wa Ruvu Shooting, Abuu Hashim.
Henry Joseph, Abel Dhaira na Joseph Owino wakibadilishana mawazo wakati wakitoka mapumziko.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269