.

UCHAGUZI MKUU TFF, ATHUMANI NYAMLANI KUZINDUA KAMPENI KESHO

Oct 23, 2013

TANGAZO
Mgombea urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ambaye kwa sasa ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF, Athumani Nyamlani kuwa kesho Alhamis Oktoba 24, 2013, saa sita mchana atakuwa na mkutano na wanahabari kuzindua kampeni zake za urais kwenye ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dar es Salaam. Wote mnakaribishwa.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช