Breaking News

Your Ad Spot

Oct 14, 2013

VILLA SQUAD YALIA NJAA, YATEMBEZA BAKULI KWA WADAU

TIMU ya Soka ya Villa Squad Fc  ya Magomeni Kinondoni,  Jijni Dar es Salaam  inayoshiriki michuano ya Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (FDL), imewaangukia wadau wa soka nchini na kuwaomba waipige tafu ili iweza kurejea ligi kuu Tanzania Bara.
           Akizungumza leo, jijini Dar es Salaam, mweka hazina wa timu hiyo,  Alwan Geyash alisema  kuwa hadi sasa klabu hiyo ina ukata wa hali ya juu na kwamba kwa wadau watakao guswa>> INAENDELEA UK. WA SPOTI (BOFYA)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages