Breaking News

Your Ad Spot

Dec 7, 2013

JANETH MIZENGO PINDA APATA SHAHADA YA UZAMILI YA UONGOZI KATIKA MIFUMO YA AFYA, MZUMBE UNIVERISY


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kulia)  wakiwa na Binti yao Janet Pinda  ambaye alitunukiwa  Shahada  ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe yaliyofanyika Chuoni hapo mjini Morogoro  Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages