Breaking News

Your Ad Spot

Dec 7, 2013

KINANA AKUTANA NA WASOMI CCM VYUO VYA ELIMU YA JUU, NJOMBE

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kushoto), akisikiliza kero, aliokutana na wanafunzi kutoka vyuo vya elimu ya Juu, mjini Njombe mchana huu
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na wananfunzi hao baada ya kueleza kero zao. wengine (walioipa mgongo kamera) ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Naoe Nnauye na katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mbunge Mteule, Dk. Asha-Rose Migiro
Wanafunzi ukumbini wakimsikiliza Kinana

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages