Breaking News

Your Ad Spot

Dec 5, 2013

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA UHSIRIKIANO AFRIKA NA UFARANSA

 Rais Francois Hollande wa Ufaransa akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jijini Paris kwenye mkutano unaohimiza kukuza ushirikiano wa kiuchumi kati ya Ufaransa na Afrika.Akizungumza katika mkutano huo Rais Kikwete alisema kuwa mbali na kuwa bado bara la Afrika linahitaji
 misaada ya uchumi nchi zilizoendelea lazima ziwekeze mitaji katika nchi za kiafrika.

Rais Francois Hollande wa Ufaransa akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jijini Paris kwenye mkutano unaohimiza kukuza ushirikiano wa kiuchumi kati ya Ufaransa na Afrika.Akizungumza katika mkutano huo Rais Kikwete alisema kuwa mbali na kuwa bado bara la Afrika linahitaji misaada ya uchumi nchi zilizoendelea lazima ziwekeze mitaji katika nchi za kiafrika.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Francois Hollande wa Ufaransa, Rais Allasane Ouatarra wa Ivory Coast na Rais Mac Sall wav Senegal wakiwa katika mkutano wa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Afrika na nchi za kiafrika(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages