Breaking News

Your Ad Spot

Dec 20, 2013

TASWIRA KATIKA MAISHA YA JAMII MJINI MOROGORO

Mkazi wa mjini Morogoro, akiwa amelazimika kubeba kichwani tenga la ndizi, licha ya kwamba alikuwa akiendesha baiskeli ambayo pia amepakia tenga lingine la ndizi kama theNkoromo Blog ilivyomnasa katika eneo la Mtawala, mjini humo leo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages