Breaking News

Your Ad Spot

Jan 18, 2014

HEPI BESDEI YA JANET ALBART JACKSON KUTIMIZA MIAKA MITATU

Janeti  Albart akiwa katika pozi la kujidai wakati wa sherehe yake bab-kubwa ya hepi besidei ya kutimiza miaka mitatu kuuona mwanga wa dunia kwa mara ya kwanza baada ya kuzaliwa kwake. Sherehe hiyo ya kukata na mundu ilifanyika  January 10,  2014, nyumbani kwa nyanya yake, Kigamboni nje ya jiji la Dar es Salaam, Tanzania, Afrika Mashariki. Picha zaidi ingia ukurasa wetu wa Habari na Matukio katika Picha, au BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages