Breaking News

Your Ad Spot

Jan 31, 2014

KINANA, NAPE WAWAKUNA VIJANA MBEYA WABEBWA JUU JUU

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Vijana, katika Ukumbi wa Mtenda jijini Mbeya, leo jioni ikiwa ni maadalizi ya shamrashamra za miaka 37 ya CCM zitakazofanyika Jumapili hii jijini hapa. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa UVCCM, Sixtus Mapunda.
 Vijana akiwa wamembeba Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, baada ya kuwakuna kwa hotuba yake, alipozungumza nao katika ukumbi wa Mtenda jijini Mbeya
 Vijana hao wakimbeba pia Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
 Kinana akiagana na vijana hao nje ya ukumbi baada ya kuzungumza nao
 Baadhi ya mashabiki wa timu ya Mbeya City, wakimpungia mkono Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipopishana nao akiwa katika gari lake mjini mMbeya leo jioni.
Paul Makondya kutoka Makao Makuu ya CCM, akiongoza msafara wa Kinana kutoka ukumbini kwenda mjini.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages