Breaking News

Your Ad Spot

Jan 1, 2014

MABONDIA WAZIPIGA DAR MKESHA WA AMWAKA MPYA WA 2014

Bondia kutoka Kenya, Joshua Amukulu (kushoto) akijaribu kuoangua konde, wakati alipoonyeshana umwamba wa kutupiana makonde hayo na Bondia wa Tanzania, Fransis Miyeyusho katika mpambano wao wa kufunga mwaka 2013 na kukaribisha mwaka mpya wa 2014, katika Ukumbi wa Msasani Beach Club, mjini Dar es Salaam. Miyeyusho alishinda kwa K'O, raundi ya pili na kuibuka mshindi: Picha zaidi>>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages