Diwani wa Kata ya Tandika Zena Mgaya (kushoto) atoa maelezo kuhusu utekelezaji wa ilani ya CCM katika kata hiyo. Wengine waliosimama ni madiwani na wenyeviti wa mitaa.DIWANI wa Viti Maalum, Temeke Dar es Salaam, Mariam Mtemvu akifafanua jambo, wakati wa kikao cha Mbumbe wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto) na Halmashauri Kuu ya Kata ya Tandika kilichofanyika Ofisi ya CCM Kata hiyo, jana, kuzungumzia kero na hali ya utekelezaji wa ilani ya CCM katika kata hiyo. Katikati ni Diwani wa Kata hiyo, Zena Mgaya
Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Kata ya Tandika wakiwa kwenye kikao hicho na Mtemvu.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA



No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269