Breaking News

Your Ad Spot

Jan 5, 2014

NYUMBA 15 ZATEKETEA KWA MOTO PEMBA

Moto unaodaiwa kusababishwa na shoti ya umeme ukiwaka kwenye nyumba za wakazi wa mji wa Shumba mjini Pemba. Moto huo unaoendelea kuzimwa hadi sasa unadaiwa kusababisha familia kadhaa kukosa mahali pa kuishi. Habari za mwanamtandao Ebeneza Mende aliyetutumnia picha hii zimesema moto ulianza saa tano na nusu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages