Breaking News

Your Ad Spot

Jan 11, 2014

UCHAGUZI MKUU TASWA KUFANYIKA MWEZI UJAO CHINI YA KATIBA YA ZAMANI

DAR ES SALAAM, Tanzania
UCHAGUZI Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), utafanyika Februari 16 mwaka huu jijini Dar es Salaam, na kwa mujibu wa uongozi wa chama hicho, si dhambi wanaotaka kuongoza kutangaza nia zao mapema wakiona inafaa.

Katibu Mkuu wa TASWA, Amiri Mhando (pichani) amesema, tarehe hiyo ya uchaguzi imeafikiwa katika kikao cha Kamati ya Utendaji ya TASWA  kilichofanyika Dar es Salaam, leo kujadili masuala>Inaendelea>BOFYA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages