WALIOKUWA Madiwani katika kata mbili tofauti kwa tiketi ya Chadema, Zakaria Mfuko (kushoto), aliyekuwa Diwani wa Kata ya Masekelo na Sebastian Peter (kulia) aliyekuwa diwani Kata ya Ingokole wakitambulishwa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, baada ya madiwani hao kutangaza kuhamia CCM, katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo, kwenye Viwanja vya Mahakama ya Mwanzo, wilaya ya Shinyanga mjini.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot


No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269