Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Meya wa Mji wa Vallejo nchini Marekani Mstahiki Osby Davis alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi Februari 27,
2014. Meya Davis yuko nchini na ujumbe wa wafanyabiashara 15 kutoka Vallejo
wakiwa katika ziara ya kutafuta fursa za uwekezaji na ushirikiano. Mji wa
Vallejo ni mji dada na wa Bagamoyo katika mkoa wa Pwani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika
picha na Meya wa Mji wa Vallejo nchini
Marekani Mstahiki Osby Davis na ujumbe wake walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi Februari 27,
2014. Meya Davis yuko nchini na ujumbe wa wafanyabiashara 15 kutoka Vallejo
wakiwa katika ziara ya kutafuta fursa za uwekezaji na ushirikiano. Mji wa
Vallejo ni mji dada na wa Bagamoyo katika mkoa wa Pwani.PICHA NA IKULU
.jpg)

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269