Waziri
wa Sheria na Katiba ambaye pia ni mjumbe wa Bunge maalum la Katiba Dkt
Asharose Migiro(kushoto) na Mjumbe wa Bunge maalum la Katiba Hamad
Rashid wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma wakati wakielekea katika
Ukumbi wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe(kulia) na Katibu wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomas Kashilila (kushoto)
wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma wakati wanaelekea katika
Ukumbi wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba.
Naibu
Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Juma Mkamia na Mjumbe Mjumbe wa Bunge Maalum
la Katiba Joshua Nasari wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma mara
baada ya uwasilishaji wa rasimu ya kanuni za Bunge Maalum Katiba.
Mwenyekiti
wa Chama cha wananchi (CUF) ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano wa Bunge
Maalum la Katiba Profesa Ibrahim Lipumba(kushoto) na Mwenyekiti wa
CHAUSTA na ambaye ni Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba James
Mapalala(kushoto) wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma mara baada ya
uwasilishaji wa rasimu ya kanuni za Bunge Maalum Katiba.
Waziri
wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba Dkt Fenelaa Mkungala (kushoto) na Mwanasheia
Mkuu wa Serikali Jaji Fredrick Werema (wa pili kushoto) na Mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba Yusuph Singo (kulia) na Dkt. Franicis Michael (wa
pili kulia) wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma mara baada ya
uwasilishaji wa rasimu ya kanuni za Bunge Maalum Katiba.
Mwenyekiti
wa Chama cha wananchi (CUF) ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano wa Bunge
Maalum la Katiba Profesa Ibrahim Lipumba(mwenye suti ya kijivu)
akibadlishana mawazo na waandishi wa habari jana mjini Dodoma kabla ya
kuingia katika ukumbi wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba.
Baadhi
ya wajumbe wa Mkutano wa Bunge maalum la Katiba wakiwasili katika
Ukumbi wa Bunge jana mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano.
Baadhi
ya wajumbe wa Mkutano wa Bunge maalum la Katiba wakifuatilia kwa
makini uwasilishaji wa rasimu ya kanuni za Bunge Maalum jana mjini
Dodoma .
Waziri
Mkuu na ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba
Mizengo Peter Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni
Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Balozi Seif Alli Iddi
wakifuatia uwasilishaji wa rasimu ya rasimu ya kanuni za Bunge
Maalum jana mjini Dodoma
Waziri Mkuu na ambaye pia ni Mjumbe
wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Mizengo Peter Pinda akibadilishana
mawazo jana mjini Dodoma na wajumbe wenzake mara baada ya kuharishwa
kwa kikao. Picha na Idara ya Maelezo-Dodoma
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269