Breaking News

Your Ad Spot

Feb 5, 2014

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN NCHINI INDIA

.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein  alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Watanzaniai wanaosoma katika vyuo mbali mbali nchini India, jana katika ukumbi wa Hotel ya The Ashok mjini New Delhi, akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na mashirikiano na nchi hiyo. Kulia ni Waziri wa Uwezeshaji,Vijana wanawake na Watoto,  Zainab Omar Mohamed, Mama Mwanamwema Shein, na (kushoto) Balozi wa Tanzania nchini India John Kijazi. Picha nyingine 12 za ziara hiyo>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages