Breaking News

Your Ad Spot

Mar 21, 2014

CCM YAITEKA KATA YA KIWANGWA, MAELFU WAHUDHURIA MKUTANO WA JIONI WA KUMNADI RIDHIWANI

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, akimnadi kwa maelfu ya wananchi, mgombea wa Ubunge katika Uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, katika mkutano mkubwa wa kampeni uliofanyika leo katika mji mdogo wa Kiwangwa, Kata ya Kiwangwa, katika jimbo la Chalinze Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.
 Nape akihutubia kabla ya kumnadi Ridhiwani kwenye mkutano huo wa Kiwangwa
 Nape na Ridhiwani wakiselebuka nyimbo za hamasa jukwaani kwenye mkutano huo wa CCm katika mji mdogo wa Kiwangwa
 Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara Shaibu Akwilombe kwenye mkutano huo wa KIwangwa
 Msanii wa Bongo fleva, Sam wa Ukweli akitumbuiza  kwenye mkutano huo wa Kiwangwa
 Sam wa Ukweli akiwa amempandisha bibi yake jukwaani kwenye mkutano huo wa Kiwangwa
 Msanii Dokii akiwaimbisha wananchi alipopata fursa ya kutumbuiza kwenye mkutano huo wa Kiwangwa
 Dokii akionyesha machejo na mmoja wa wananchi waliokuwa kwenye mkutano huo uliofanyika mji mdogo wa Kiwanga.
 Wananchi waliohamasika wakiishangilia CCM kwa nguvu zao zote kwenye mkutano huo wa Kiwangwa
 Watu wakitumia njia mbalimbali kuhakikisha wanaona kilichokuwa kikjifanyika kwenye mkutano huo wa Kiwangwa
 Pikipiki zilizosindikiza msafara wa Ridhiwani kuingia mji mdogo wa Kiwangwa
 Nape akimwelekeza jambo Ridhiwani katika mkutano huo wa Kiwangwa
 Ridhiwani akizungumzai na Bibii  Anazina Mrisho Mfaume wa kijiji cha  Msinune kata ya Kiwangwa, Bagamoyo, jimbo la Chalinze
 Ridhiwani akizungumza na Bibi Anazina Mrisho Mfaume wa kijiji cha  Msinune ya Kiwangwa, Bagamoyo, jimbo la Chalinze.
 Kijana wa Kijiji cha Msinune akimpiga msasa Ridhiwani
 Ridhiwani akiondoka na viongozi kwenye Kijiji cha Msinune katika kata hiyo ya Kiwanga
 Asha Ally (kulia) wa Masugulu akisoma kipeperushi cha Ridhiwani
 Mtoto Shafii Sihaba (7), wa Kijiji cha Msinune akiwaonyesha machejo waandishi wa habari waliohudhuria mkutano wa Rdhiwani uliofanyika kwenye kijiji hicho
 Ridhiwani akisalimia Wazee wa Mwidu, kata ya Kiwangwa Bagamoyo jimbo la Chalinze
 Ridhiwani akipewa uhsuri na Bibi wa Kijiji cha Mweetemo, baada ya mkutano wake wa kuomba kura katika kijiji hicho leo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages