Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara
akizungumza na wanawake mbalimbali (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi
wa Bonanza la Mpira wa Kikapu lililoandandiliwa na Shirikisho la Mpira
wa Kikapu Tanzania (TBF) leo jijini Dar es Salaam katika viwanja vya
DUCE. Kushoto ni Mkuu wa Kitivo cha Sayansi chuoni hapo Dkt. Constansia
Rugumamu na kuli ni Kamishina wa wanawake TBF Bi. Angella Grolia Bondo. Picha zaidi tafadhali BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269