Breaking News

Your Ad Spot

Mar 13, 2014

MEGA TRADE WATOA MSAADA KWA WALIOKUMBWA NA MAAFA WILAYA YA HAI-KILIMANJARO

 Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga (watatu kushoto) akipokea msaada wa mabati yenye thamani ya shilingi Milioni 5 kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha Mega Trade Investiment ya jijini Arusha, Gudluck Kway
  Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga (watatu kushoto) akipokea msaada wa mabati yenye thamani ya shilingi Milioni 5 kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kanda ya Kaskazini  wa Kampuni ya  Mega Trade Investiment ya jijini Arusha, Edmund Rrutaraka, kwaajili ya kusaidia waathirika wa kipunga katika Kijiji cha Kwatito. Katikati yao ni Mkurugenzi wa Masoko wa Mega Trade, Gudluck Kway na wafanyakazi wengine.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mega Trade Investiment wakishusha mabati hayo katika gari.
 Mkuu wa Wilaya ya Hai, Novatus Makunga akizungumza baada ya kupokea nsaada huo.
 Meneja Mauzo wa Kanda ya Kaskazini  wa Kampuni ya  Mega Trade Investiment ya jijini Arusha, Edmund Rrutaraka na Mkurugenzi wa Masoko wa Mega Trade, Gudluck Kway wakisalimiana na  wanakijiji wa Kwatito baada ya kuwakabidhi msaada huo wa mabati. 
Wananchi wakiwa na mabati yao baada ya kukabidhiwa.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages