Breaking News

Your Ad Spot

Mar 6, 2014

PBZ ISLAMIC YATOA SEMINA KWA MASHEIKH NA WAFANYABIASHARA KUHUSU BENKI ZA KIISLAM KUWA SULUHISHO KWA BENKI ZA KAWAIDA ZINAZOTOA RIBA

 

Shekh.Ali Sharif Maalim akisoma Quran kabla ya Ufunguzi wa Semina hiyo ilioandaliwa na PBZ Islamic Bank, iliofanyika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Grand Palace Malindi.
Dkt. Ziddy akifungua semina ya siku moja ya kuzungumzia Bank za Kiislam, ilioandaliwa na PBZ Islamic,na kuwashirikisha Mashekh na Wafanyabiashara wa Zanzibar kuhusiana na riba, semina hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Grand Palace Malindi.   
Mkurugenzi Huduma Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Said Mohammed, akitowa maelezo kabla ya kuaza kwa semina hiyo iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.

Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ, akifuatilia maelekezo yakitolewa katika semina hiyo akiwa na Maofisa wa PBZ na Viongozi wengine. 

Profesa Monzer Kahf, akiwasilisha Mada yake kuhusiana na Islamic Bank is Alterative of Convention Bank, wakati wa semina hiyo ya siku moja ilioandaliwa na PBZ Islamic Bank, iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace malindi.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages