Breaking News

Your Ad Spot

Apr 17, 2014

KINANA AMALIZA ZIARA MKOA WA KATAVI KWA KUZURU MPANDA MJINI LEO

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipanda ngazi kwenda juu ya tanki wakati akikagua ujenzi wa mradi wa chanzo cha maji cha Ikongoro, mjini Mpanda leo
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipanda ngazi kukagua tangi hilo
 Mjumbe wa NEC, Balozi Ali Karume akipanda ngazi kwenda juu ya tangi kuona mradi huo
 Kinana akikagua mtaro wa kutandaza mabomba ya maji kutoka kwenye tanki hilo
 Kinana akishiriki kulaza mabomba kwenye mtaro alipokagua mradi huo wa maji eneo la Kazima Mpanda mjini.
 Karibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua ujenzi wa nyumba  90 uliofanywa na shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Ilembo, Mpanda Mjini
 Mjumbe wa Shina namba 32 tawi la Makanyagio mjini Mpanda, Thobias Kazimzuri akizungumza wakati Kinana alipohudhuria kikao kwenye shina hilo
 Kinana akizungumza kwenye mkutano huo kwenye shina namna 32 mjini Mpanda
 Nape akiwa na wanachama wa shina namba 32 wakati wa kikao alichohudhuria Kinana kwenye shina hilo.
Nape akiwa na mtoto kwenye shina hilo
 Wanachama wakiwa kwenye kikao hicho cha shina namba 32
 Kinana akipokea mwanachama mpya aliyejiunga kutoka Chadema wakati wa kikao hicho cha shina namba 32
 Msafara wa pikipiki ukitoka Ofisi ya CCM mkoa wa Katavi, kwenda Uwanja wa Mkutano wa hadhara uliofanywa na Kinana kwenye Uwanja wa Kashaulili,  leo mjini Mpanda
 Msafara wa Kinana ukienda Uwanja wa Mkutano
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda na kuhutubiwa na Kinana
  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda na kuhutubiwa na Kinana
  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman kinana akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda leo mwishoni mwa ziara yake mkoani Katavi
   Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman kinana akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda leo mwishoni mwa ziara yake mkoani Katavi. Picha zote na Bashir Nkoromo- theNkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages